Shirika la Habari la Hawza limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha Bihar al-Anwar:
لَا يَزْرَأَنَّ أَحَدُكُمْ بِأَحَدٍ مِنْ خَلْقِ اللَّهِ فَإِنَّهُ لَا يَدْرِي أَيُّهُمْ وَلِيُّ اللَّهِ
Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) amesema:
Asidharau mmoja wenu kumdharau mwengine au kumwona duni yeyote miongoni mwa viumbe wa Mwenyezi Mungu; kwani hajui ni nani miongoni mwao ambaye ni kipenzi wa Mwenyezi Mungu.
Chanzo: Bihar al-Anwar, Juz. 72, uk. 147.
Maoni yako